Loading...

Loading...
Loading...
Loading...

Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mwili kubadilika.
Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.

Loading...

Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi, kuanzia miaka 14. Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe(kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.
Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke huweza kuchangiwa kutokuwepo na usawa katika homoni zifuatazo Estrogen, Progesterone na Testosterone. Kupungua au kuzidi kwa homoni hizi kupelekea mvurugiko wa homoni kwa mwanamke.

II. VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI

Mvurugiko wa homoni ni tatizo linalowakumba wanawake wengi kwa sasa, hii ni kutokana:

-Mifumo ya maisha wanayoishi, –Elimu finyu waliyonayo juu ya afya zao na kutokula kulinganana makundi ya damu.

Vyanzo vya kuvurugika kwa homoni ni kama vile,

Uwepo wa sumu mwilini

Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)

Umri

Kukoma kwa hedhi

Kutofanya mazoezi

Uzito mkubwa

Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa

Msongo wa mawazo

Kula vyakula visivyo endana na Blood Group

Upungufu wa lishe mwilini

Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango

Utoaji wa mimba

Family History (Upungufu au ongezeko ya homoni ya progesterone na Estrogen)

Ongezeko ya homoni ya testosterone (Kuota ndevu, sauti kama mwanaume)

NB (Ethnicity): Wanawake wa Afrika wengi wana hili tatizo la ongezeko ya Homoni ya Estrogen, ndiyo maana wana maumbile makubwa

KWA MATIBABU YA UHAKIKA WASILIANA NASI

You may also like